RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Hamida Mussa Khamis, kuwa
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-7-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo Mhe.Cassian
Gallos Nyimbo, baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
leo 3-7-2025, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Rajab Ali Rajab kuwa Mkuu
wa Wilaya ya Kati Unguja, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-7-2025

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Miza Hassan Faki kuwa Mkuu
wa Wilaya ya Mkoani Pemba, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-7-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo Mhe.Miza Hassan
Faki, baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba leo 3-7-2025,
hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Mohammed Ali Abdallah kuwa
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-7-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Amour Yussuf Mmanga kuwa
Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-7-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo Mhe.Amour Yussuf Mmanga,
baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-7-2025,
hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
No comments:
Post a Comment