MENEJA wa Sera Utafiti na Mipango, kutoka bodi ya mapato Zanzibar (ZRB) Ahmed Haji Saadat, akifungua kikao cha wafanya biashara wa Vifaa vya Ujenzi Kisiwani Pemba, katika ukumbi wa KIwanja cha Michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Elimu kwa walipa kodi kutoka ZRB, Khamis Shaali Chum, akiwasilisha mada ya Kodi na Umuhimu wake kwa wafanya biashara wa Vifaa vya ujenzi Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Kitengo cha Mahusiano kwa Umma Safia Is-hak Mzee, akiwasilisha mwongozo wa kutunza kumbukumbu kwa walipakodi, kwa wafanya biashara wa Vifaa vya Ujenzi Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MFANYABIASHARA wa Vifaa vya Ujenzi Kisiwani Pemba, Said Ahmed Nassor akiuliza swali kwa kuonyesha moja ya risiti za malipo ya VAT wakati wa Semina ya wafanyabiashara wa Vifaa vya Ujenzi Kisiwani Pemba na ZRB.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWANDISHI wa Habari wa ITV kisiwani Pemba, akiuliza
swali kwa Viongozi wa ZRB katika semina ya Wafanyabiashara wa vifaa vya Ujenzi
Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA).
No comments:
Post a Comment