Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es
salaam leo Agosti 29, 2017. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais
Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi. PICHA NA IKULU
Elimu : NECTA Yatangaza kuanza kwa mitihani ya Darasa la Saba 2025
-
Na Sophia Kingimali.
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi kuanza kwa mtihani wa
kumaliza elimu ya msingi huku likitoa rai kwa jamii na ...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment