Habari za Punde

Afisa Elimu Wilaya Akabidhi Zawadi Kwa Wanafunzi Bora Pemba.

AFISA Elimu Wilaya ya Chake Chake Abdalla Mohamed Muya, akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora Kidato cha sita Asmaa Ahmed, aliyepata daraja la kwanza katika skuli ya Sekondari Shamiani Chake Chake Pemba,katika hafla ya kuwakabidhi zawadi wanafunzi watatu waliopara daraja hilo
Afisa Elimu Wilaya ya Chake Chake Abdalla Mohamed Muya, akipokea box la vitabu vya masomo ya sayansi kutoka kwa Mwanasheria dhamana kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashataka Pemba, Ali Bilali Hassan katikati, wakati wa hafla ya utoaji zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri na kudata daraja la kwanza katika skuli ya Shamiani Sekondari Chake Chake
WANAFUNZI wa Skuli ya Sekondari Shamiani Chake Chake, wakifuatilia kwa makini utoaji wa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri, kidato cha sita mwaka huu na kupata daraja la kwanza.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.