MRATIBU wa
Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed,
akielezea namna ya kituo hicho, kinavyofanya tathmini ya mafunzo ya haki za
binadamu, kwa watu wenye ulemavu kisiwani humo, mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa ZLSC
mjini Chakechake
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Tathimini juu ya mafunzo yaliotolewa kwa Watu Wenye Ulemavu Kisiwani Pemba yaliotolewa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar , Tawi la Pemba mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Kituo cha ZLSC Chakechake.

KIONGOZI kutoka Umoja wa watu wenye Ulemavu ‘UWZ’ wilaya ya Mkoani Pemba, Malik
Mohamed 0mar, akitoa mchango wake wa tathimini juu ya mafunzo ya haki za
binadamu, waliowahi kupewa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la
Pemba, na mkutano huo wa kufanyika mjini Chakechake
MWANACHAMA wa Umoja wa watu wenye Ulemavu ‘UWZ’
kutoka wilaya ya Wete, Katija Mbarouk Ali, akielezea changamoto, iliomo ndani ya jamii, kwenye
mkutano wa tathimini wa mafunzo ya haki za binadamu, waliowahi kupewa kundi
hilo na ZLSC, ambapo mkutani huo ulifanyikia mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment