Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Azungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa NMB Bi. Ineke Bussemaker,alipowasili Ofisini kwake kwa mazungumzo leo, jijini Dar ea Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa NMB Bi. Ineke Bussemaker ambaye alifika Ofisini kwa Makamu wa Rais leo,Ikulu jijini Dar es Salaam(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)​

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.