Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Afungua Tamasha la Wasanii Wanawake Mkoa wa Kusini Unguja.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia baadhi ya vitu vilivyotengenezwa na mikono wakati wa Ufunguzi wa Tamasha la Wasanii Wanawake wa mkoa wa Kusini Unguja lililofanyika kwenye ukumbi wa Coco Blue, Jambiani. 

Wasanii wa Kikundi cha Majalis Saniya kutoka Michenzani wakitumbuiza wakati wa Ufunguzi wa Tamasha la Wasanii Wanawake wa mkoa wa Kusini Unguja lililofanyika kwenye ukumbi wa Coco Blue, Jambiani ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati kwenye Ufunguzi wa Tamasha la Wasanii Wanawake wa mkoa wa Kusini Unguja lililofanyika kwenye ukumbi wa Coco Blue, Jambiani j
Wasanii wa Kikundi cha Tausi kutoka Kisiwandui wakitumbuiza wakati wa Ufunguzi wa Tamasha la Wasanii Wanawake wa mkoa wa Kusini Unguja lililofanyika kwenye ukumbi wa Coco Blue, Jambiani ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.