MIKARAFUU isiyopungua 110 imechomwa moto na watu wasio julikana, katika kijiji cha Michikichini Shehia ya Chonga Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa kusini Pemba, huku ikikisiwa kuwa na thamani ya shilingi Milioni 8.5. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MIKARAFUU isiyopungua 110 imechomwa moto na watu wasio julikana, katika kijiji cha Michikichini Shehia ya Chonga Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa kusini Pemba, huku ikikisiwa kuwa na thamani ya shilingi Milioni 8.5.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MMOJA ya mikarafuu iliyochomwa moto na watu
wasiojulikana katika kijiji cha Michikichini Shehia ya Chonga, ukiwa umeanguka
baada ya kuteketea vibaya kwa moto huo.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment