Habari za Punde

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu azungumza na maafisa habari wa taasisi za serikali

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Hassan Khatib akizungumza na Maafsa Habari  wa Taasisi mbalimbali za Serikali kuhusiana na Utoaji wa Habari za maendeleo katika Taasisi zao kikao kilichofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar.

Afisa wa Habari kutoka Ofisi ya Mtakwimu mkuu wa Serikali Salama Njani akitoa mchango wake katika kikao cha maafsa habari kutoka Taasisi mbalimbali kuhusiana na Utoaji wa Habari za maendeleo katika Taasisi zao kikao kilichofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.