Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Japan Tobacco Inc. (JIT) kwenye hoteli ya New Otani iliyopo Tokyo Japan, Mei 29, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Japan Tobacco Inco, Bw. Mutsuo Iwai (kulia) na rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Bw. Masamichi Terabatake baada ya mazungumzo kwenye hoteli ya New Otani ya Tokyo Japan Mei 29, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Japan Tobacco Inco., Bw. Mutsuo Iwai (kulia) na rais na Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Bw. Masamichi Terabatake kwenye hoteli ya New Otani ya Tokyo Japan Mei 29, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya Pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Japan Tobacco Inc, Bw. Mutsuo Iwai (kulia) na rais na Mtendaji Mkuu wa Japan Tobacco Inc, Bw. Masamichi Terabatake baada ya mazungumzo kwenye hoteli ya New Otani iliyopo Tokyo Japan Mei 29, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment