Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe.Zainab Shomari Ashiriki Bonaza la Wajasiriamali Zanzibar

Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Zainab Khamis Shomari akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri kuu Taifa ambae pia ni Waziri wa Habari Vijana Utamadini na Michezo Tabia Maulid Mwita mara baada ya Kuwasili katika Viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu Kisonge katika hafla ya Bonanza la Wajasiriamali linalohamasisha Utumiaji wa Nishati Mbadala Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Zainab Khamis Shomari akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Halmashauri kuu Taifa NEC Tabia Mauli Mwita baada ya kukagua Timu za Mashindano ya Mapishi katika hafla ya Bonanza la Wajasiriamali linalohamasisha Utumiaji wa Nishati Mbadala Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Zainab Khamis Shomari akizungumza na Timu za Mapishi Tim Tabia na Tim Zainab katika hafla ya Bonanza la Wajasiriamali linalohamasisha Utumiaji wa Nishati Mbadala Zanzibar.
Mashindano ya Mapishi kwa Kutumia Nishati Mbadala ya Jiko la Gesi kati ya Tim Zainab Kushoto wenye Skafu Nyeupe na Tim Tabia kulia wenye Skafu Nyeusi wakishindana Kupika Mchuzi na Ugali ambapo Tim Zainab Iliibuka na Ushindi katika  hafla ya Bonanza la Wajasiriamali linalohamasisha Utumiaji wa Nishati Mbadala Zanzibar
Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Zainab Khamis Shomari akigawa Majiko ya Gesi kwa Vikundi  mbalimbali Vya Wajasiria Mali katika hafla ya Bonanza la Wajasiriamali linalohamasisha Utumiaji wa Nishati Mbadala Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Zainab Khamis Shomari akitoa Msaada wa Viti vya Magurudumu Kwa Watoto Walemavu  katika hafla ya Bonanza la Wajasiriamali linalohamasisha Utumiaji wa Nishati Mbadala Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Zainab Khamis Shomari akisisitiza jambo wakati akitoa Hotuba katika hafla ya Bonanza la Wajasiriamali linalohamasisha Utumiaji wa Nishati Mbadala Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Zainab Khamis Shomari akisisitiza jambo wakati akitoa Hotuba katika hafla ya Bonanza la Wajasiriamali linalohamasisha Utumiaji wa Nishati Mbadala Zanzibar.

Mjumbe wa Halmashauri kuu Taifa ambae pia ni Waziri wa Habari Vijana Utamadini na Michezo Tabia Maulid Mwita  akisisitiza jambo wakati akizungumza katika hafla ya Bonanza la Wajasiriamali linalohamasisha Utumiaji wa Nishati Mbadala Zanzibar.

Vijana wa CCM wakicheza na kufurahi katika hafla ya Bonanza la Wajasiriamali linalohamasisha Utumiaji wa Nishati Mbadala Kisonge Mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.