Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Kuskazini Pemba Akutana na Ujumbe wa Shirika la UNICEF.

Ofisa Mdhamini Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba, Ndg.Ali Salim Matta,akifunguwa kikao huko katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Kisiwani humo, na kuutambulisha ujumbe wa UNICEF, ambao ulikuwa na ziara ya kutembelea Kisiwa cha Kojani kuangalia miradi ilifadhiliwa na Shirika hilo.
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman, akiushukuru Ujumbe huo wa UNICEF kwa kutembelea mkoa huo kwa ajili ya kuangalia miradi ilioifadhili katika Kisiwa cha Kojani .
Maofisa mbali mbali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakiwa katika kikao cha pamoja na ujumbe wa UNICEF , huko katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Maofisa mbali mbali wa mkoa wa Kaskazini Pemba, wakiwa katika kikao cha pamoja na ujumbe wa UNICEF , huko katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Picha na thurea Ghalib - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.