Habari za Punde

ZRB Yatoa Elimu kwa Waandishi wa Habari Pemba Juu Mabadiliko ya Sheria ya Kodi.

Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo Pemba, Kauthar Is-haka  Mzee,akifunguwa mafunzo juu ya mabadiliko ya sheria ya Kodi kwa Wanahabari wa Vyombo mbali mbali Kisiwani Pemba, yalioandaliwa na Z.R.B Zanzibar.
Maofisa wa ZRB wakiwa na mwenyekiti wa mafunzo ya Mabadiko ya Kodi ambae pia ni Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari maelezo Pemba,Kauthar Is-haq , huko katika ukumbi wa Maktaba Pemba.
Baadhi ya Waandishi wa habari  wa Vyombo mbali mbali vya habari wakifuatlia kwa makini mada zinazotolewa na Maofisa kutoka Bodi ya Mapato Zanzibar juu ya mabadiko ya sheria za Kodi.icha na Bakari Mussa - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.