Mkurugenzi Mkuu wa
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza leo na ujumbe
kutoka Kampuni ya GeoPoll wakati wa kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji
wa Redio na Watazamaji wa Televisheni zinazotolewa na kampuni hiyo hapa nchini.
Kulia ni Mtendaji Mkuu wa GeoPoll kutoka Marekani Steve Gutterman.
Mtendaji Mkuu wa
Kampuni ya GeoPoll kutoka Marekani Steve Gutterman akizungumza leo wakati wa
kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji wa Televisheni
zinazotelewa na kampuni hiyo hapa nchini.
Baadhi
ya wajumbe kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Kampuni ya GeoPoll wakifuatilia
kwa makini kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji
wa Televisheni zinazotelewa na Kampuni ya GeoPoll hapa nchini.
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa (katikati) akiwa
katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa GeoPoll kutoka Marekani Steve
Gutterman na Mwakilishi kutoka Idara ya Habari -MAELEZO Casmir Ndambalilo baada
ya kumaliza kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji
wa Televisheni zinazotelewa na Kampuni ya GeoPoll hapa nchini.
(Picha na Veronica Kazimoto.).
No comments:
Post a Comment