Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA 49 LA AFYA NA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA CHAMA CHA MADAKTARI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya chupa zenye maji anayongezewa mgonjwa mwilini wakati wa Ufunguzi Kongamano la 49 la Afya Kitaifa na Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Tanzania, kushoto pichani ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu na Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania Dkt. Obadia Nyongole. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 49 la Afya na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Madaktari Tanzania ulioanza na kufanyika kwenye hoteli ya  Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.