Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi cheti cha shukrani Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibu Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud wakati wa sherehe ya kuwapongeza vijana walioshiriki kwenye halaiki kwenye sherehe za kilele cha kuzimwa mwenge wa uhuru, zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. 14-10-2017 .
Makamo wa pili wa rais wa Zanzibar balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi cheti cha shukrani ndugu Ali Ramadhani Iddi akiwakilisha wenzake walioshiriki kwenye halaiki kwenye sherehe za kilele cha kuzimwa mwenge zilizofanyika Amani 

Makamo wa pili wa rais wa zanzibar balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na wakufunzi wa halaiki wakati wa sherehe za kuwapongeza vijana walioshiriki kwenye halaiki kwenye sherehe za kilele cha kuzimwa mwenge. Sherehe za kuwapongeza vijana hao zilifanyika makao makuu ya KVZ Mtoni
No comments:
Post a Comment