Habari za Punde

Mwenge wa Uhuru Wamaliza Mbio Zake Kisiwani Pemba leo. na Kuwasili Zanzibar Kuendelea na Mbio Zake.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa,Ndg. Amour Hamad Amour, akiweka jiwe la msingi katika miradi ya Maendeleo iliozinduliwa Kisiwani Pemba wakati wa mbio hizo na kumaliza mbio zake kisiwani Pemba leo na kuwasili Zanzibar kuendelea na mbio zake na kuzindua miradi ya Maendeleo katika sehemu mbalimbali za Unguja na kufikia kilele chake tarehe 14,/10/2017 katika viwanja vya Amaan Zanzibar.

Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Kitaifa, Amour Hamad Amour, akizungumza na Wananchi mara baada ya kukaguwa miradi ya Wananchi huko Kiuyu Micheweni .

Kiongozi wambio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa , Amour Hamad Amour, akizinduwa kisanduku cha maoni ya kupambana dhidi ya Rushwa madawa ya Kulevya , Unyanyasaji wa Kijinsia huko katika Hospitali ya Cottage

Micheweni Pemba

Picha na Jamila Salim -MAELEZO PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.