Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi katika eneo la kona ya Butimba wakati akitokea Igogo jijini Mwanza.
Wananchi wa Butimba na Mkuyuni
wakifurahi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli alipokuwa akizungumza nao katika eneo la kona ya Butimba wakati
akitokea Igogo jijini Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri
wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage mara baada ya kufungua kiwanda cha
Victoria molders and polybags kilichopo Igogo jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono mafundi wa Kiwanda cha
Victoria molders and polybags mara baada ya kutengeneza Tanki la kuhifadhia
maji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia utengenezaji wa viti vya plastiki
katika kiwanda cha Victoria molders and polybags katika eneo la Igogo jijini
Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mfuniko uliotengenezwa katika
kiwanda hicho cha Victoria molders and polybags Igogo jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Meya ya jiji la Mwanza James
Bwire mara baada ya kufungua kiwanda cha Victoria molders and polybags Igogo
jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kiwanda cha madawa cha Prince Pharmaceuticals kilichopo Buhongwa nje
kidogo jijini Mwanza. Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment