Habari za Punde

Wananchi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Watembelea Jengo la Baraza la Wawakilishi Kumtembelea Mwakilishi Wao na Kujionea Shughuli za Baraza.

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akisalimiana na Viongozi wa Matawi ya Jimbo lake walipofika katika majengo ya Baraza la Wawakilishi kumtembelea Mwakilishi wao na kujionea shughuli za mikutano ya Baraza kwa mualiko wa Mwakilishi wao.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.