Habari za Punde

Mchezo wa Kirafiki wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes na Villa United Uwanja wa Amaan Timu ya Heroes Imeshinda Bao 5 - 2.

Mshambuliaji wa Timu ya Zanzibar Heroes Mohammed Othman akimpita beki wa Timu ya Villa United Fadhil Silim wakati wa mchezo wao wa tatu wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Timu ya Heroes imeshinda bao 5 - 2.

Wachezaji wa Timu ya Zanzibar Heroes wakishangila bao lao 5 katika mchezo huo wa kirafiki na Timu ya Villa United uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.