Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Miembeni City na Taifa ya Jangombe Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Taifa ya Jangombe Imeshinda Bao 2--0.

MSHAMBULIAJI wa Timu wa Miembeni City Haroub Abdallah akijaribu kumpiga kazu kipi wa Timu ya Taifa ya Jangombe Ahmeid Ali wakati wa Mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amani Tomu ya Taifa ya Jangombe imeshinda mchezo huo bao 2--0
MCHEZAJI wa Timu ya Miembeni City Mohammed Salum kushoto na mchezaji wa Timu ya Taifa ya Jangombe Omar Yussuf wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Taifa ya Jangombe imeshinda mchezo huo bao 2--0

WACHEZAJI wa Timu ya Miembeni City wakiwa na majonzi baada ya timu yao kukubali kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Jangombe katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar iliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar


KOCHA Mkuu wa Timu hya Taifa ya Jangombe Saleh Mussa Maisara akitowa maelekezo kwa mchezaji wake Ibrahim Abdallah kabla ya kuingia uwanjani kuchukua nafasi katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Timu ya Taifa ya Jangombe imeshinda mchezo huo kwa bao 2--0. dhidi ya Timu ya Miembeni CitySHABIKI wa Timu ya Miembeni City akiwa na majonzi baada ya Timu yake kuchezea kichapo cha mabao 2--0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Jangombe mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaanm Zanzibar
MCHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Jangiombe Abdulazizi Makame akishangilia bao lake la ushindi dhidi ya timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.