Habari za Punde

Ligi ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja Kati ya Nyuki na Osolo Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Gmkhana Timu ya Nyuki Imeshinda Kwa Vikapu 101- 44.

MCHEZAJI wa Timu ya Nyuki Nassoro Haji akimpita mchezaji wa Timu ya Osola Ali Mohammed wakati wa mchezo wao wa Ligi ya Mpira wa Kikapa Kanda ya Unguja uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Timu ya Nyuki imeshinda kwa vikapu 101 - 44
MCHEZAJI wa Timu ya Osolo aAli Mohammed akijaribu kumpita mchezaji wa Timu ya Nyuki Nassor Haji wakati wa mchezo waLigi ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja uliofanyika katika uwanja wa Gymkhana  katika mchezo huo Timu ya Nyuki imeshinda kwa Vikapu 101 - 44
MCHEZAJI wa Timu hya Osolo Fadhil Said akimpita mchezaji wa Timu ya Nyuki Abdul Rashid, wakati wa mchezo wa Ligi ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika uwanja wa Gmykhana Timu ya Nyuki imeshinda kwa Vikapu 101 - 44
MCHEZAJI wa Timu hya Osolo Fadhil Said akimpita mchezaji wa Timu ya Nyuki Abdul Rashid, wakati wa mchezo wa Ligi ya Mpira wa Kikapu Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika uwanja wa Gmykhana Timu ya Nyuki imeshinda kwa Vikapu 101 - 44No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.