Habari za Punde

Mahafali ya Pili Kwa Walimu wa Ualimu wa Maandalizi Cheti

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Khadija Bakari Juma akitowa nasaha zake wakati hafla ya Mahafali ya Pili ya Wahitimu wa Mafunzo ya Walimu wa Ualimu wa  Maandalizi Zanzibar yaliotolewa na Kituo cha Madrasa Childhood Early Programme Zanzibar mahafali hayo yamefanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar. ,

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.