Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Muungano Kati ya Mafunzo na Jeshi Stars Uwanja wa Gymkhana Timu ya Jeshi Stars Imeshinda kwa Mabao 52 - 45.

Mchezaji wa Timu ya Mafunzo Zanzibar Boke Juna akijaribu kutowa pasi kwa mchezaji wake Mainda Rogers katikati akiwa na Wachezaji wa Timu ya Jeshi Stars wakijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Muungano uliofanyika katika uwanja wa Gymkhana. Timu hizo zimeonesha upinzani katika kota ya kwanza kwa kasi ya funga nikufunge hadi kuta ta pili Timu hizo zimekuwa sare ya mabao 30 - 30. 
Kota ya nne kuazi Timu ya Jeshi Stars imeoonesha mchezo wa kushambulia na kuwaacha Mafunzo nyuma na hadi mchezo unamalizika Timu ya Jeshi Stars imetoka kifua mbele kwa ushindi wa mabao 52 - 45. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.