Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA MASHAMBA YA MIWA NA KIWANDA CHA KAGERA SUGAR MISENYI MKOANI KAGERA

Rais Dkt John Pombe Magufuli akikagua sukari iliyozalishwa na kiwanda cha Kagera Sugar alipotembelea Shamba la miwa na kiwanda hicho katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera
Rais Dkt John Pombe Magufuli akikagua sukari iliyozalishwa na kiwanda cha Kagera Sugar alipotembelea Shamba la miwa na kiwanda hicho katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera
Rais Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuhutubia baada ya kuhitimisha shughuli za kukagua shamba la miwa la kiwanda cha Kagera Sugar alipotembelea  kiwanda hicho katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera
Rais Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu wakimsikiliza Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Kagera Sugar baada ya kuhitimisha shughuli za kukagua shamba la miwa la na kiwanda  hicho katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera leo
Wafanyakazi wa kiwanda cha Kagera Sugar wakiwa katika mkutano na Rais Dkt John Pombe Magufuli  baada ya kuhitimisha shughuli za kukagua shamba la miwa la na kiwanda  hicho katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Charles Mwijage akimtambulisha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda na Biashara na Mbunge wa Mvomero Mhe. Sadiq Murad kwa Rais Dkt John Pombe Magufuli wageni na wafanyakazi wa kiwanda cha kagera Sugar  baada ya Mhe. Rais kuhitimisha shughuli za kukagua shamba la miwa la na kiwanda  hicho katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda na Biashara na Mbunge wa Mvomero Mhe. Sadiq Murad akiongea mbele ya  Rais Dkt John Pombe Magufuli wageni na wafanyakazi wa kiwanda cha kagera Sugar  baada ya Mhe. Rais kuhitimisha shughuli za kukagua shamba la miwa la na kiwanda  hicho katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali (Mst) Mustafa Kijuu akimtambulisha Katibu Tawala wa mkoa huo Kamishna Diwani Athumani kwa Rais Dkt John Pombe Magufuli, wageni na wafanyakazi wa kiwanda cha kagera Sugar  baada ya Mhe. Rais kuhitimisha shughuli za kukagua shamba la miwa la na kiwanda  hicho katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera
Uongozi wa Kiwanda cha kagera Sugar kikimkaribisha wakala mpya wa sukari wa kijijini cha Bunazi mbele ya  Rais Dkt John Pombe Magufuli wageni na wafanyakazi wa kiwanda cha kagera Sugar  baada ya Mhe. Rais kuhitimisha shughuli za kukagua shamba la miwa la na kiwanda  hicho katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera 
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wageni na viongozi mbalimbali  baada ya kuhitimisha shughuli za kukagua shamba la miwa na  kiwanda  cha Kagera Sugar  katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera leo

Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Mwenyekiti wa Mtaa kwa tiketi ya CHADEMA Bw. Best aliposimama kuongea na wananchi wa Rwamishenyi mjini Bukoba wakati akitokea kukagua shamba la miwa na  kiwanda  cha Kagera Sugar  katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera

Rais Dkt John Pombe Magufuli akimpatia shilingi milioni tano  Mwenyekiti wa Mtaa wa Rwamisheny kwa tiketi ya CHADEMA Bw. Best kwa ajili ya kukarabati shule ya msingi ya eneo hilo aliposimama kuongea na wananchi wa Rwamishenyi mjini Bukoba wakati akitokea kukagua shamba la miwa na  kiwanda  cha Kagera Sugar  katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera , 8/11/2017..

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.