Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozi wa Indonesia na Oman Ikulu Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Balozi Rotlan Paradede, alipofika Ikulu ya Zanzibar leo kwa mazungumzo.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Mhe. Rotlan Paradede alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe Ali Abdalla Al - Mahruq, alipofika Ikulu leo kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar na kulia kwa Balozi ni Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi Zanzibar Mhe Ahmed Mahmoud Al Habis. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe Ali Abdalla Al - Mahruqi, baada ya mazungumzo yao alipofika kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu Zanzibar leo.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.