Habari za Punde

Timu ya Afisi Kuu ya CCM Yaibuka Bingwa wa Kombe la Majimbo Zanzibar Kwa Kuifunga Timu ya Jimbo la Kwahani Bao 3 - 1.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akimkabidhoi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Majimbo Nahodha wa Timu ya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar Vuai Makame kwa timu yao kuibuka Mabingwa wa Michuano hiyo kwa mwaka 2017 kwa kuifunga Timu ya Jimbo la Kwahani Bao 3 - 1. Mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Michuano hiyo imefadhiliwa na Mfanyabiashara Maarufu na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini  Zanzibar Mhe. Mohammed Darams Raza.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.