Habari za Punde

Wananchi Kisiwani Pemba wakifuatilia zoezi la uzimaji wa moto linalofanywa na Kikosi za Zimamoto na Uokozi katika nyumba iliopata hitilafu ya umeme na kusababisha moto huo na Kikosi hicho kimefanikiwa kuuzima moto huo kabla ya kuleta madhara kwa wananchi wa eneo hilo.
Askari wa Kikosi za Uokozi na Zimamoto wakiwa katika jitihada ya kuudhibiti moto huo usileta madhara katika nyumba za jirani katika eneo hilo.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.