Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari M. Sururu akipokea salamu kutoka
kwa Askari wa Jeshi la Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati akiwasili Ofisi
hapo kwa ziara ya kikazi Mkoani humo tarehe 20 - 21 Disemba, 2017. Kushoto ni
Afisa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba, Naibu Kamishna wa Uhamiaji Asumsio
Achacha.
Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar,
Johari Masoud Sururu.
Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Said M. Samaki akichangia hoja katika
kikao cha pamoja na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar na Wafanyakazi wote wa Mkoa
wa Kaskazini Pemba.
Tumbe ni
mojawapo ya Bandari Bubu zilizopo ndani ya Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa
Kaskazini Pemba
Sheha wa Shehia ya Shumba Mjini, Bi. Rahma Mohamed Shaame (katikati)
akimueleza Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari M. Sururu (kushoto kwake),
kuhusu matumizi ya Bandari bubu Shumba Mjini inayotumiwa na wakaazi wengi wa
Wilaya ya Micheweni kufanya safari zao za kibiashara kwenda Visiwa vya Mombasa
Kenya.
No comments:
Post a Comment