Nusu fainali ya michuano ya CECAFA2017 kukamilika leo Uganda kukipiga na Zanzibar.
Mechi hii inatazamiwa kuwa kali kwani Uganda wanataka kwenda fainali ili wakatetee Ubingwa wao wakati Zanzibar Heroes wanataka kulipiza kisasi cha Novemba 24, 2015 pale walipofungwa 4-0 Uganda.
No comments:
Post a Comment