Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dk. Shein Afunga Mkutano Mkuu wa Wazazi. Dr. Edimund Mndolwa Aibuka Kidedea Nafasi ya Mwenyekiti na Haidar Abdllah Makamu Mwenyekiti Wazazi Mkutano Mkuu 2017.

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Wazazi anayemaliza muda wake Alhajj Abdallah Bulembo alipowasili katika ukumbi wa Mkutano wa Kikwete Hall Dodoma
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr.Binilith S.Mahenge
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi anayemaliza muda wake Abdllah Bulembo, wakielekea ukumbi wa mkutano
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana alipowasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma kwa ajili ya ufungaji wa Mkutano Mkuu wa Wazazi Tanzania
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM msimamizi wa Uchaguzi Jerry Slaa, alipowasili katika ukumbi wa mkutano
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania anayemaliza muda wake Alhajj Abdallah Bulembo, wakiwa wamesimamo wakimbo wimbo wa kupkelewa walipowasili katika ukumbi wa mkutano huo

BAADHI ya wageni waalikwa wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania wakiwa wamesimama wakati mgeni rasmin akiingia katika ukumbi wa mkutano
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania wakiwa wamesimama wakiimbi nyimbo ya kumpokea Makamu Mwenyekiti alipowasili katika ukumbi wa mkutano kwa ajili ya ufungaji
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM waliosimamia uchaguzi huo wakiwa katika ukumbi wa mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wakisubiri kutowa matokeo ya uchaguzi Mkuu. Jerry Slaa, Issa Haji Gavu na Machano Othman.
MSIMAMIZI wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Jerry Slaa akisoma matokeo ya wagombe wa Nafasi mbalimbali za Wazazi katika ukumbi ya Jakaya Kikwete Dodoma.

WAGOMBEA wa Nafasi za Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wakiwa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete wakisubiri kutangazwa kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi na wasimamizi wa uchaguzi huo
MWENYEKITI mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dr. Edmund Mndolwa Benard akielekea katika meza kuu baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo ya Mwenyekiti wa Wazazi Tanzania
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi wakishangilia wakati wa kutangazwa kwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Dr. Edimund Mndolwa Benard  na Makamu Mwenyekiti wake Haidar Abdallah Haji. kushinda uchaguzi huo na kuiongoza Jumuiya ya Wazazi kwa kipindi cha miaka mitano.

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Wazazi Tanzania baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi Mkuu katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma Dr. Edimund Mndolwa Benard kulia Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana na kushoto Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Haidar Abdallah Haji. 
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzinia baada ya kutangazwa rasmin ushindi wake na msimamizi wa Uchaguzi Mkuu Jerry Slaa. 
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dr. Edimund Mndolwa akitowa shukrani kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wazazi kwa kumpa nafasi kuongoza jumuiya hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dr. Edimund Mndolwa akitowa shukrani kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wazazi kwa kumpa nafasi kuongoza jumuiya hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Hall Dodoma wakati wa ufungaji wa Mkutano huo baada ya kukamilika kwa taratibu za uchaguzi wa Wajumbe na Mwenyekiti na Makamu wake

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akitoka ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Wazazi baada ya kuufunga akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM Abdulraham Kinana Mwenyekiti wa Wazazi Dr. Edimund Mndolwa, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Binilith Mahenge na Makamu Mwenyekiti Wazazi Haidar Abdallah Haji

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.