Habari za Punde

Mambo ya Chakechake na Parking yalivyo siku hizi


GARI inayotumiwa na Ofisi ya Mufti kisiwani Pemba, yenye namba za usajili SMZ 148 A, ikiwa mbele ya ofisi hiyo, tayari imeshatiwa mnyororo wenye bati, lililotengenezwa mithili ya msumeno, na mtendaji anaedhaniwa kuwa ni wa Baraza la Mji Chakechake, ambapo kwa sasa limekua gumzo ndani ya mji wa huo na hasa kwa wale ambao ofisi zao ziko pembezoni mwa barabara, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.