Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba akabidhi Vespa kwa Madiwani Wilaya ya Micheweni

  Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman (alie vaa flana manjano) akiangalia Vespa aliowakabidhi Madiwani wa Halmashauri Wilaya ya Micheweni kushoto yake ni Katibu Tawala Mkoa Kaskazin Pemba Ahmed Khalid Abdallah Hafla hiyo aOfsi ya Halmashauri wa Wilaya ya Micheweni.
 Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omr Khamis Othman akimkabidhi Vespa Mwenyekiti wa Kamati ya Madiwani wa CCM wilaya ya Micheweni Said Saleh Salim ambae pia ni Diwani wa Chimba.
Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman (wa katikati) katika Picha ya pamoja na Madiwani wa CCM Wilaya ya MIchweweni

Picha na Makame Mshenga Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.