Habari za Punde

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aendesha Kikao cha Mkutano wa Kamati Kuu Mjini Dodoma leo.

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula wakiwa wamesimama wakipiga makofi baada ya katika ukumbi wa mkutano wa white house kwa kuaza mkutano wa Kamati Kuu iliofanyika katika ukumbi wa white house Dodoma leo. 
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakiwa wamesimama wakipiga makofi kuhamasisha wakati wa kuingia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. John Pombe Magufuli 
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahaman Kinana akisoma ajenda za mkutano na kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. John Magufuli kufungua mkutano huo wa Kamati Kuu ya Halmashari Kuu ya Taifa ya CCM iliofanyika katika ukumbi wa White House Dodoma leo. 
Mwenyekiti wa Chama cha Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM katika ukumbi wa White House Dodoma kulia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi na Waziri Mkuu Mstaaf Dk. Salim Ahmed Salim akizungumza na kuwaaga wajumbe wa Kamati Kuu wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa White House Dodoma leo. 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifngua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kulia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na kushoto Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahaman Kinana. 
Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Dkt. Magufuli akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa White House Dodoma  
Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Dkt. Magufuli akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa White House Dodoma  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.