MAKAMU
wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akiangalia bidhaa mbalimbali
zinazozalishwa na wajasiriamali wa
Zanzibar, alipotembelea maonesho wakati
alipolifungua Kongamano la Pili la Asasi za Kiraia Zanzibar lililofanyika
katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort iliopo Mazizini Unguja.(PICHA NA HAROUB
HUSSEIN

MWENYEKITI
wa Kongamano la Pili la Asasi za Kiraia Zanzibar, Dk. Mzuri Issa akitoa maelezo
ya Kongamano hilo la siku mbili mbele ya
Mgeni Rasmi ,Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, kongamano
hilo linafanyika katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.(PICHA NA
HAROUB HUSSEIN).
WASHIRIKI wa Kongamano la siku mbili la Asasi za Kiraia Zanzibar wakiwa katika
Kongamano hilo katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort iliopo Mazizini
Unguja.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
WASHIRIKI wa Kongamano la siku mbili la Asasi za Kiraia Zanzibar wakiwa katika
Kongamano hilo katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort iliopo Mazizini
Unguja.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
KAIMU
Waziri wa Fedha na Mipango, ambae pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba,
Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Haroun Ali Suleiman , akizungumza
katika kongamano la siku mbili la Asasi za Kiraia lililofanyika katika Hoteli
ya Zanzibar Beach Resort iliopo Mazizini.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
No comments:
Post a Comment