Habari za Punde

Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Kati ya Mlandege na Zimamoto Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege Imeshinda Bao. 2-1.

Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege Khamis Abuu akimpita beki wa Timu ya Zimamoto Suleiman Said , wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar,Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.
Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege akijaribu kuzuiya mpira wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege imeshinda bao 2-1.


Wachezaji wa Timu ya Zimamoto na Mlandege wakipata huduma ya kwanza baada ya kugongana wakiwa hewani wakiwania mpira katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Ibrahim Hamad Hilika akimpita beki wa Timu ya Mlandege Edwin Charles wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.