Habari za Punde

Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Kati ya Simba na Mwenge Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao 1 -1.

 Mchezaji wa Timu ya Simba akijaribu kumpita beki wa Timu ya Mwenge wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1. usiku huu michuano hiyo inaendelea kwa kuzikutanisha Timu ya Yanga na MlandegeNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.