Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Timu ya URA na Jamuhuri Uwanja wa Amaan Mchana Huu. Mchezo Huo Umemalizika Kwa Sare ya Bao 1-1.

MSHAMBULIAJI wa Timu ya URA Peter Lwasa, akimpita beki wa Timu ya Jamuhuri Girayson Gerrad, mwenye jezi ya njano wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Mchezo uliofanyika saa 8. Timu hizo zimetoka sare ya bao.1-1MCHEZAJI wa Timu ya URA Jimmy Kulaba, akimpita Beki wa Timu ya Jamuhuri Abdallah Juma wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1


KIPA wa Timu ya Jamuhuri Ali Khamis akiokoa mpira wa kona golini kwake wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao. 1-1
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Jamuhuri Khamis Abdurahaman, akimiliki mpira huku beki wa Timu ya URA Patrick Mbowa akijaribu kumzuia wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.