Mkuu wa wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib (kulia), Kaimu afisa Mipango wilaya ya Micheweni Hamad Othman, (wakwanza kushoto) na msimamizi wa Upigaji dawa wilayani humo, Khamis wakihodisha Nyumbani kwa Diwani wa Wadi ya Chimba Wilayani humo ambae hakutaka kupigiwa Dawa ya Malaria zoezi linaloendelea Wilayani Humo.
Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Micheweni akijibizana na diwani ya wadi ya Chimba, Sidi Salehe Salim ambae hakutaka nyumba yake kupigwa dawa ya malaria.
Wapiga dawa majumbani wakizungumza na mkuu wa wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib baada ya kumaliza zoezi la upigaji dawa katikashehia ya Chimba.
Wapiga dawa majumbani wakizungumza na mkuu wa wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib baada ya kumaliza zoezi la upigaji dawa katikashehia ya Chimba.
Picha na Bakar Mussa, Pemba
No comments:
Post a Comment