Naibu Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Mazingira Juma Makungu Juma akijibu maswali yalioulizwa ndani ya Baraza la Wawakilishi linaloendele chukwani Mjini Unguja
Mwakilishi wa Jimbo la Chwaka na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi (Gavu) akifafanua baadhi ya maswali yalioulizwa ndani ya Baraza la Wawakilishi linaloendele chukwani Mjini Unguja.
Mwakilishi wa Jimbo la Donge na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohammed kulia akiwa pamoja na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Nassor Salim Ali katikati na Mwakilishi wa Jimbo la Mkwajuni Ussi Yahya Haji wakibadilishana mawazo nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi linaloendele chuk wani Mjini Unguja.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment