Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Afungua Jengo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Jengo Jipya la Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakati alipowasili kuweka Jiwe la Msingi la Jengo Jipya la Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar , Omar Othman Makungu wakati alipowasili kuweka Jiwe la Msingi la Jengo Jipya la Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Haroun Suleiman wakati alipowasili kuweka Jiwe la Msingi la Jengo Jipya la Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria kuzindua Jengo Jipya la Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika leo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.