Habari za Punde

Bunge la Tano la Vijana Zanzibar Lafanyika Katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Kuadhimisha Siku ya Jumuiya ya Madola.

SPIKA wa Bunge la Vjana Zanzibar Juma Masoud akiingia katika ukumbi wa Bunge la Vijana Zanzibar akiongozana na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma, Mwenyekiti wa Bunge la Jumuiya yua Madola Tawi la Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said, wakiingia katika Ukumbi wa mkutano


WAJUMBE wa Bunge la Vijana Zanzibar wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa Bunge hilo la Tano lililofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani ZanzibarNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.