Habari za Punde

Diwani wa Wadi ya Chakechake Pemba Akabidhi Zawadi Kwa Wanafunzi Waliofanya Vizuri Mitihani Yao.

DIWANI wa kuteuliwa kupitia CCM katika Wilaya ya Chake Chake Khamis Salim Mohammed, akimkabidhi zawadi ya mabuku mmoja ya wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani yao ya mwezi kidato cha nne mwaka huu
(Picha na Saidi Abrahaman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.