Habari za Punde

PBZ Yaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Kwa Kukadidhi Vitanda Vya Kuzalia Hospitali ya Muembeladu Zanzibar.

MKURUGENZI Masoko na Huduma kwa Wateja Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Said Ali Mwinyigogo, (kushoto) akimkabidhi msaada wa Vitanda vine kwa ajili ya Hospitali ya Wazazi Muembeladu Unguja, chumba cha kujifungulia wajawaziti, ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, akipokea msaada huo. Kaimu Mkurugenzi wa Mtendaji wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Dr. Msafiri Marijani , hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya hospitali hiyo

Mkurugenzi Masoko na Huduma kwa Wateja Benki ya Watu wa Zanzibar Said Ali Mwinyigogo na Kaimu Mkurugenzi wa Mtendaji wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Dr. Msafiri Marijani na Wafanyakazi wa Hospitali ya Wazazi Muembeladu wakiwa katika picha ya pamoja baada ya hafla ya kukabidhi Vitanda vya kuzalia Kinamama katika hospitali hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.