Habari za Punde

Rais Dk Shein ajumuika na waslamu wakati wa mazishi ya Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha)

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika maziko ya Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) Mwanasiasa Mkongwe wa CCM   katika Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 11 Machi 2018.
 Miongoni mwa Waislamu wakiwa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Paje Wilaya ya Kusini Unguja,wakati Hitma ya  Marehemu Mzee  Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) Mwanasiasa Mkongwe wa CCM   aliyezikwa leo, [Picha na Ikulu.] 11 Machi 2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) pamoja na Mashekhe mbali mbakli wakiitikia Dua ya  Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha)Mwanasiasa Mkongwe wa CCM  baada ya kisomo cha Khitma katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Paje Wilaya ya Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 11 Machi 2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) alijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali jana katika kumswalia  Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) Mwanasiasa Mkongwe wa CCM   katika  Msikiti wa Ijumaa Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 11 Machi 2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ( katikati) akiweka mchanga katika kaburi la  Mwanasiasa Mkongwe wa CCMMarehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) wakati wea kuzika,[Picha na Ikulu.] 11 Machi 2018.
 Maelfu ya Wananchi kutoka sehemu mbali mbali za Zanzibar na Tanzania Bara walijumuika katika maziko ya Mwanasiasa Mkongwe wa CCM Marehemu Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha)  yaliyofanyika jana katika Kijiji cha Paje   Wilaya ya Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 11 Machi 2018.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ( kulia) alifika kuwapa mkono wa pole Wanafamilia ya   Marehemu  Mzee Abdulrazak Mussa Simai (Kwacha) Mwanasiasa Mkongwe wa CCM  Nyumbani kwao baada ya mazishi yaliyofanyika leo katika Kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.] 11 Machi 2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.