Habari za Punde

Makamu wa Rais aongoza kikao cha baraza la Mawaziri jijini Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma leo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi (aliekaa kushoto) akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira Na Walemavu Jenista Mhagama , Waziri wa Mambo ya Nje na Ushikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Adelardus Kilangi wakizungumza kabla ya kuanza kwa kikao cha Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.