Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Afngua Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizindua jarida la Mkakati wa kuzuia Rushwana Uhujumu wa Uchumi  Zanzibar katikaKongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha jarida la Mkakati wa kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi  Zanzibar  baada ya kulizindua rasmi jarida hilo   katika Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua  Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
Baadhi ya Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leokatika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ndg,Kubingwa Mashaka Simba alipokuwa akitoa mada ya Dhana ya Utawala Bora  Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo Kongamano la kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar  Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Ungu
Makatibu katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
 Baadhi ya Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leokatika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
 Viongozi wa Idara mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katikaKongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja


Katibu Mtendaji wa  Kamisheni ya Wakfuu na Mali ya Amana Sheikh Abdulla Twalib alipokuwa akitoa mada ya 2 ya Dhana Utawala Bora katika  Mtizamo wa dini,katika Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo Kongamano la kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar  Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguj,
Viongozi wa Idara mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katikaKongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,Mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu]15 Machi 2018. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.