Habari za Punde

Siku ya Mabalozi wanawake na wake wa Mabalozi Afrika

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe Balozi Amina Salum Ali akihutubia katika mkutano wa siku ya Wanawake Mabalozi, Wake wa Mabalozi Afrika  kuhusu umuhimu wa Wanawake katika kujenga uchumi wa Viwanda. Mkutano huo umefanyika Park Hyatt hotel, Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.