Habari za Punde

Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Afanya Ziara Katika Mabonde ya Mpunga Mkanyageni.Unguja.

Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifigo na Uvuvi Mhe. Rashid Ali Juma, akizungumza na Wakulima wa Bonde la Mpunga la Mkanyageni Unguja wakati wa ziara yake ya Kikazi leo.
na kuzungumza na Viongozi wa Bonde hilo, Akiongozana na Naibu Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Dkt. Makame.
 Amewataka wakulima wa Bonde la Mkanyageni kutumia mvua za masika katika kipindi hichi cha msimu kuweza kutumia mvua hiz kukagua shughuli za ukulima zinavyoendelea o kwa kilimo cha mpunga na mazao mengine.
Aliwataka kufanya kazi kwa kushirikiana ili kuondosha migogoro isiyokua ya lazima kwani hurudisha nyuma shughuli za ukulima na hupoteza muda mwingi kuitatuza.
katika ziara hiyo aliambatana na wataalamu wa kilimo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.