Habari za Punde

Makamu wa Rais aendelea na ziara yake Mkoa wa Kaskazini Unguja

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mjasiriamali wa kazi za sanaa za mikono katika ufukwe wa Nungwi Ndugu Rabinson Mungule wakati wa ziara ya Makamu wa Rais ya kukagua miradi ya CCM ikiwa sehemu ya kuhamasisha Chama Cha Mapinduzi kujitegemea kwa kutumia rasilimali zake katika mkoa wa Kaskazini Unguja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia urembo wa wanawake unaouzwa katika fukwe za Nungwi Ndugu Rabinson Mungule wakati wa ziara ya Makamu wa Rais ya kukagua miradi ya CCM ikiwa sehemu ya kuhamasisha Chama Cha Mapinduzi kujitegemea kwa kutumia rasilimali zake katika mkoa wa Kaskazini Unguja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Zamani Mambo ya Ndani ya Nchi, Ali Ameir Mohammed, alipomtembelea nyumbani kwake, Kichaviani, jimbo la Donge, Makamu wa Rais alikuwa kwenye ziara katika mkoa wa Kaskazini Unguja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa CCM mkoa wa Kaskazini Unguja ikiwa sehemu ya ziara yake ya kuhamasisha shughuli za maendeleo ya Chama Cha Mapinduzi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa CCM mkoa wa Kaskazini Unguja ikiwa sehemu ya ziara yake ya kuhamasisha shughuli za maendeleo ya Chama Cha Mapinduzi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.